Habari za Punde

Wakufunzi wa Mafunzo ya Elimu Mtandaoni Wakabidhiwa Vyeti Pemba.

AFISA elimu Wilaya ya Chake Chake Burhan Khamis Juma, akitoa nasaha kwa walimu wa skuli za msingi na Sekondari waliohitimu Mafunzo ya Elimu Mtandao na Masafa, yaliyotolwa na ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake
Rais  Taasisi ya Shaibu Foundation Mustafa Mohamed Said Aburabi (Mustafa Moyo), akisoma Risala ya sherehe ya kuwazawadia vyeti Walimu waliohitimu mafunzo ya elimu Mtandao na Masafa, kwa walimu waskuli za masingi na sekondari Pemba, mafunzo yaliyotolewa na taasisi ya Shaibu Foundation.
WALIMU kutoka Skuli Mbali Mbali Kisiwani Pemba, wakifuatilia hafla ya kukabidhi vyeti kwa walimu waliohitimu mafunzo ya elimu mtandano na masafa, yaliyotolewa na taasisi ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake.
WALIMU kutoka Skuli Mbali Mbali Kisiwani Pemba, wakifuatilia hafla ya kukabidhi vyeti kwa walimu waliohitimu mafunzo ya elimu mtandano na masafa, yaliyotolewa na taasisi ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake.
MKURUGENZI wa taasisi ya Shaibu Foundation Mustafa Said Aburabi kulia akimkabidhi afisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Burhan Khamis Juma kushoto cheti cha shukrani kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba, wakati wa kugawa vyeti kwa walimu waliohitimu mafunzo ya Elimu Mtandao na Masafa, yaliyotolwa na ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake.
MKURUGENZI wa taasisi ya Shaibu Foundation Mustafa Said Aburabi kulia akimkabidhi afisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Burhan Khamis Juma kushoto cheti cha shukrani kwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba, wakati wa kugawa vyeti kwa walimu waliohitimu mafunzo ya Elimu Mtandao na Masafa, yaliyotolwa na ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake




Afisa Elimu Wilaya ya Chake Chake Burhan Khamis Juma kuliam akimkabidhi cheti Mwalimu Bimkubwa Gongo Shaban kutoka skuli ya Ng’ambwa, baada ya kuhitimu mafunzo ya Elimu Mtandano na Masafa, mafunzo yaliyotolwa na ya Shaibu Foundation na kufanyika mjini Chake Chake.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.