Habari za Punde

Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Yavutia Wananchi Huduma Zake Kwa Wananchi Wanaofika Katika Maonesho ya Biashara Viwanja Vya Maisara Zanzibar.

Afisa Mwandamizi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd (PBZ) Ndg.Mohammed akitowa maelezo ya huduma zinazotolewa na PBZ kwa Wananchi waliofika katika banda lao kupata huduma zao wakati wa maonesho ya Biashara kuadhimisha Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, maonesho yanayofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.