Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ahudhuria hafla ya ufunguzi wa wiki ya uendelezaji wa masuala ya kibinadamu, Dubai, UAE

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr.Sultan Jabir, wakati wa hafla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards”lililofanyika katika ukumbi wa Maonesho Dubai, wa ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinaadamu. “Abu Dhabi Sustainability Week”(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dr.Sultan Jabir, wakati wa hafla ya utoaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards”lililofanyika katika ukumbi wa Maonesho Dubai, wa ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinaadamu. “Abu Dhabi Sustainability Week” (kulia kwa Rais ) Rais wa Korea Mhe.Moon Jae-in na Mtawala wa Dubai Sheikh.Mohammed Rashid Al-Makhtoum.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mtawala wa Dubai Sheikh.Mohammed Rashid Al-Makhtoum, baada ya kumalizika kwa hafla ya utowaji wa zawadi kwa washindi wa shindano la “Zayed Sustainability Prize Awards” na ufunguzi wa Wiki ya Uendelezaji wa Masuala ya Kibinadamu. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Maonesho wa Dubai,akiwa katika ziara ya kiserikali katika Umoja wa Nch za Falme za Kiarabu UAE.(Picha na Ikulu) 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.