Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi awaapisha viongozi aliowateuwa karibuni Ikulu

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt. Mwinyi Talib  Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,  wamehudhuria katika hafla kuapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais kushika nafasi mbali mbali   katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.31-01-2022, (Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mheshimiwa Jaji Aziza Iddi Sued,kuwa Mwenyekiti wa Mahkama ya Rufaa ya Idara maalum ya SMZ, hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.31-01-2022, (Picha na Ikulu). 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha  Dkt. Said Seif Mzee  kuwa  Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar katika Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango,hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.31-01-2022, (Picha na Ikulu).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha  Dkt. Rahma  Salim Mahfoudh kuwa  Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar Dkt. Rahma  Salim Mahfoudh, hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.31-01-2022, (Picha na Ikulu).

Viongozi wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar waliohudhuria katika hafla kuapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais kushika nafasi mbali mbali   katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.31-01-2022, (Picha na Ikulu).

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.