Habari za Punde

Wizara ya Afya yapokea msaada wa gari iliyotolewa na Shirika la Usaid Global Health Supply Chain Tanzania


 Katibu Mkuu Wizara ya Afya , Ustawi wa Jamii,Wazee Jinsia na Watoto Dkt. Fatma Mrisho (Katikati), akipokea kwa furaha namba ya Gari ikiwa ni ishara ya kupokea msaada wa gari iliyotolewa na  Shirika la Usaid Global Health Supply Chain Tanzania (GHSC-TZ),  kwa ajili ya usambazaji wa Vifaa tiba Katika Hospitali mbali mbali, kushoto ni Mkurugenzi wa Shirika hilo Bw. Mavere Tukai, hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar.

(PICHA NA MARYAM KIDIKO – MAELEZO )

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.