Habari za Punde

Kutoka Bungeni leo Jijini Dodoma.

 


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akipiga kura ya kumchagua Spika wa Bunge loe bungeni Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Ilala Mhe.Mussa Azan Zungu, bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Februari  1, 2022. Katikati ni Spika wa Baraza la Wawakilishi, Zubeir Maulid.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.