Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na waandishi wa habari Ikulu leo

WAHARIRI wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa habari wa Magazeti na TV kutoka Zanzibar na Dar es Salaam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari Tanzani na Waandishi wa habari wa Magazeti na TV, wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kukutana na kuzungumza na Wahariri na Waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo,28-2-2022.(Picha na Ikulu)
MWANDISHI wa Habari wa Magazeti Ndg. Salum Vuai akiuliza swali kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri wa Vyombo vya habari na Waandishi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2022.(Picha na Ikulu)
WAANDISHI wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wa Magazeti,Redio na TV,wakinyosha mikoni ili kupata fursa ya kumuuliza maswali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake  wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri na Waandishi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MWANDISHI wa Habari wa Kituo cha TV cha Azam Bi. Mtumwa Said akiuliza swali kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri wa Vyombo vya habari na Waandishi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2022.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Bw.Deodatus Balile aliuliza swali kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake wa kila mwisho wa mwezi kuzungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo.28-2-2022.(Picha na Ikulu)
MJUMBE wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Bw. Salim Said Salim akiuliza swali wakati wa mkutano wao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MWANDISHI wa habari za Picha Mkongwe Bw.Martin Kabemba akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) ikiwa na kawaida yake kila mwisho wa mwezi kuzungumzxa na Wahariri wa vyombo vya habari na Waandishi wa habari, mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 28-2-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.