Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aufungua Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya ( GWPSA ) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kufungua wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, uliofanyika leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta Maji Barani Afrika wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022..(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS Mstaafu wa Tanzania, Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza katika mkutano Mkuu wa Uwezeshaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barabi Afrika uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022. Uliowashirikisha wadau mbalimbali. Tanzania na Nje ya Tanzania (Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na (kulia kwa Rais) Rais Mstaafu wa Tanzania Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara, wakifuatilia Mada ikiwasilishwa wakati wa mkutano huo Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika uliofanyika Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na yekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Tuzo ya uchangiaji wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB Bw. Abdulmajid Nsekela, baada ya ufunguzi wa mkutano huo  uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)  
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Kitabu cha Mpango wa Miaka Mitano ya Uwekezaji katika Sekta ya Maji Zanzibar, baada ya kuzindua mpango huo, wakati ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa na (kulia kwa Rais) Rais Mstaafu wa Tanzania Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar Mhe.Shaib Hassan Kaduara.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.