Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Jijini Dar es Salaam


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo tarehe 04 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.