Habari za Punde

Waziri Saada Mkuya akabidhi ofisi kwa Waziri Harusi Said Suleiman

 

Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Fedha na Mipango Dk. Saada Mkuya Salum, amekabidhi ofisi yake ya Waziri wa Afisi ya Makamo wa kwanza wa Rais Bi Harous Said Suleiman kufuatia  mabadiliko ya Baraza la Mawaziri Zanzibar yaliofanyika hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.