Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Damas Daniel Ndumbaro (Mb) kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Pindi Hazara Chana (Mb) kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Peter Ilomo kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Suzan Mlawi kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo
Viongozi Walioapishwa Wakila Kiapo cha Maadili, kilichoongozwa na Kamishna wa Maadili Jaji Sivangilwa Mwangesi
Viongozi Walioapishwa Wakila Kiapo cha Maadili, kilichoongozwa na Kamishna wa Maadili Jaji Sivangilwa Mwangesi
Viongozi Walioapishwa Wakila Kiapo cha Maadili, kilichoongozwa na Kamishna wa Maadili Jaji Sivangilwa Mwangesi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri pamoja na Mwenyekiti na Wajumbe wa Baraza la Maadili katika hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga, Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera, Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Damas Daniel Ndumbaro (Mb) pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Pindi Hazara Chana mara baada ya hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga, Spika wa Bunge Mhe. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Jaji Mstaafu Ibrahim Mipawa, Peter Ilomo Mjumbe wa Baraza la Maadili na Suzan Mlawi Mjumbe wa Baraza la Maadili, kwenye hafla fupi iliyofanyika leo tarehe 02 Aprili 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. PICHA NA IKULU.
MAWAZIRI WA SADC WAKUTANA KUJADILI USIMAMIZI WA MAAFA
-
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Ummy
Nderiananga, ameshiriki mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri
wanaohusika na Usima...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment