Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amekabidhi Boti Nne na Vifaa Vyake Kwa Wavuvi wa Kengeja na Makangale Pemba na Mashine za Boti kwa Wavuvi wa Kisiwani Pemba.
BOTI Nne na Mashine zake zilizokabidhiwa kwa Wananchi wa Makangale Boti 2 na Kengeja Boti 2,kwa ajili ya Uvuvi na Mashine za Boti 16 zilizotolewa kwa Vikundi vya Uvuvi Kisiwani Pemba,wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba leo 12-4-2022
BOTI Nne na Mashine zake zilizokabidhiwa kwa Wananchi wa Makangale Boti 2 na Kengeja Boti 2,kwa ajili ya Uvuvi na Mashine za Boti 16 zilizotolewa kwa Vikundi vya Uvuvi Kisiwani Pemba,wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba leo 12-4-2022.
WANANCHI wa Shumba Mjini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya kukabidhi Boti Nne na Vifaa vya Uvuvi kwa Wavuvi wa Kengeja na Makangale na kukabidhi Mashine 16 za Boti kwa Wavuvi wa Pemba 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.