Makamo Mwenyekiti Baraza la Vijana Shehia ya sokoni Maimuna Hasaan Simai akichangia mada katika mafunzo maalum kuhusu maadili yaliyofanyika Ukumbi wa Tawi la CCM Kiembe samaki Zanzibar Chini ya Tume ya maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar.
Afisa kutoka Tume ya maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar Halima Jumbe Said akiwasilisha mada ya umuhimu wa kuzingatia maadili katika Jamii yetu wakati wa Utoaji wa elimu ya maadili huko Ukumbi wa Tawi la CCM Kiembe samaki Zanzibar,elimu ya maadili imetolewa Kwa vijana wa Wilaya ya Magharibi "B".
Mwenyekiti Baraza la Vijana Shehia ya Taveta Mohammed Idrisa Makame akichangia mada katika mafunzo maalum kuhusu maadili ya Viongozi wa Umma yaliyotolewa na maafisa kutoka tuma ya maadili ya Viongozi wa umaa Zanzibar,mafunzo hayo yalifanyika Ukumbi wa Tawi la CCM Kiembe samaki.
No comments:
Post a Comment