Habari za Punde

Balozi Mbarouk amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa UAE

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa UAE, Sheikh Khalifa bin Zayed bin Sultan Al Nahyan katika Ubalozi wa nchi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Rais wa UAE, Sheikh Khalifa bin Zayed bin Sultan Al Nahyan katika Ubalozi wa nchi hiyo leo Jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiteta jambo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa nchi hiyo leo Jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiagana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi baada ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa nchi hiyo leo Jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.