RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali Sheikh Ali Rijali Mavua (106) alipofika nyumbani kwake Mombasa kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “Unguja
kumtembelea leo 13-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali
Rijali Mavua, alipofika nyumbani kwake Mombasa kwa Mchina Wilaya ya Magharibi
“B” Unguja leo alipofika kumjulia hali yake na (kulia kwa Rais) Kadhi Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali na Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti
Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Ali Rijali Mavua, alipofika nyumbani kwake Mombasa kwa Mchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo kumjulia hali yake.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment