Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameufungua Masjid Nuur Al Rahman Fuoni Kipunguni.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Nuur Al-Rahman Fuoni Kipungani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,na (kushoto) msimamizi wa ujenzi wa msikiti huo Ndg.Khalfan Mussa, ufunguzi huo umefanyika leo 13-5-2022, na kusaliwa Sala ya Ijumaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Nuur Al-Rahman Fuoni Kipungani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akiwa na msimamizi wa ujenzi wa msikiti huo Ndg.Khalfan Mussa, ufunguzi huo umefanyika leo 13-5-2022, na kusaliwa Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais)  Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Masjid Nuur Al-Rahman Fuoni Kipungani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,na (kushoto kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali na (kulia kwa Rais) Msimamizi wa ujenzi wa msikiti huo Sheikh.Khalfan Mussa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.
Sheikh Mohammed Suleiman (Tall)  akizungumza na kusoma saklamu za Wananchi wa Fuoni Kipungani wakati wa hafla ya ufunguzi wa Msikiti wao wa Masjid Nuur Al Rahman, uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi leo 13-5-2022.  

Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi wakati wa ufunguzi wa Masjid Nuur Al Rahman Fuoni Kipunguni Wilaya ya Magharibi "B"Unguja leo 13-5-2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.,Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Fuoni Kipungani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada ya kuufungua Msikiti wa Masjid Nuur Al-Rahman Fuoni na kujumuika katika Sala ya Ijumaa katika iliyofanyika katika msikiti huo

WANANCHI wa Fuoni Kipungani Wilaya ya MaghaRIBI “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuufungua Msikiti wa Masjid Nuur Al –Rahman Fuoni Kipungani na kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 13-5-2022.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.