Habari za Punde

Maadhimisho ya siku ya ushirika duniani yafanyika kisiwani Pemba

MKUU wa WIlaya ya Chake Chake Abdalla Rashid Ali, akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, katika siku ya Ushirika duniani, maadhimisho hayo kwa Zanzibar yamefanyika katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

WATENDAJI mbali mbali wa Serikali, wakiwemo maafisa wadhamini, Mkuu wa Wilaya ya Wete, katibu Mkuu Wizara ya Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji, wakifuatilia maadhimisho ya siku ya ushirika Duniani, kwa Zanzibar yamefanyika katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

WAZIRI wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Omar Said Shaaban, akimkabidhi cheti cha utumishi bora Msaidiz Afisa Mrajis wa Idara ya Vyama vya Ushirika Pemba Abdi Hamza Maalim, wakati wa maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani, kwa Zanzibar yamefanyika katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

WAZIRI wa Bishara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Omar Said Shaaban, akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani, kwa Zanzibar yamefanyika katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

BAADHI ya wajasiriamli wa biadhaa mbali mbali wakiwa na bidhaa zao, huku wakifuatilia maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani, kitaifa kwa Zanzibar yamefanyika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

WAZIRI wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Omar Said Shaaban, akiangalia moja ya kawa lililotengenezwa na moja ya wajasiriamali wa Pemba, wakati wa maadhimisho ya siku ya ushirika Duniani, kwa Zanzibar yamefanyika katika uwanja wa Gombani Kisiwani Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.