Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ahudhuria Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani Kuwachagua Viongozi wa Wadi ya Migombani wa CCM.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapoinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Viongozi wa CCM alipowasili Tawi la CCM Kilima kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar kuwachagua Viongozi wa Wadi wa Chama Cha Mapinduzi.(CCM)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya mmoja wa Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Ndg. Sleyum Mustafa Aboud.(hayupo pichani) akijieleza na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022 na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia maelezo ya mmoja wa Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Ndg. Sleyum Mustafa Aboud.(hayupo pichani) akijieleza na kuomba kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022 na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg. Talib Ali na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa Wadi ya Migombani  Jimbo la Mpendae Zanzibar na Viongozi mbalimbali wa Wadi, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi  akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa Wadi ya Migombani  Jimbo la Mpendae Zanzibar na Viongozi mbalimbali wa Wadi, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani uliofanyika katika Tawi la CCM Kilimani Unguja leo 6-8-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar, baada ya kupiga kura yake kuwachagua Viongozi wa Wadi hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo  6-8-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar, baada ya kupiga kura yake kuwachagua Viongozi wa Wadi hiyo, wakati wa Mkutano Mkuu wa Wadi uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo  6-8-2022.

VIONGOZI  wa Chama Cha Mapinduzi  na Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wanachama wa CCM Wadi ya Migombani, wakati wa mkutano Mkuu wa Wadi hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-8-2022
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani Jimbo la Mpendae Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi .(hayupo pichani) akizungumza na Wanachama Wadi ya Migombani  baada ya kupiga kura yake kuwachagua Viongozi wa Wadi hiyo katika Mkutano Mkuu wa Wadi ya Migombani uliofanyika katika ukumbi wa Tawi la CCM Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja leo 6-8-2022.



 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.