Habari za Punde

Ripoti ya CAG yatua BLW. Spika akabidhiwa leo

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid  akikabidhiwa Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman,  hafla hiyo imefanyika  katika Ofisi ya Spika Chukwani Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar. Mhe.Haroun Ali Suleiman akimfahamisha kitu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zubeir Ali Maulid wakati  alipomkabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2020/2021 ,  hafla hiyo imefanyika  katika Ofisi ya Spika Chukwani Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.