Habari za Punde

Katibu Mkuu wa CCM Ndg.Chongolo Akutana na Kuzungumza na Balozi wa Vietnam Nchini Tanzania

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Balozi wa Viet Nam nchini Tanzania, Komredi Nguyen Nam Tien (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo Lumumba, jijini Dar es Salaam, Alhamis

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipitia kitabu chenye machapisho ya Mkutano Mkuu wa kwanza mpaka wa 12 wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietman (CPV) pamoja na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga (kulia) mara baada ya kukabidhiwa na  Balozi wa Vietnam nchini Komredi Nguyen Nam Tien (kushoto) katika Ofisi ya Katibu Mkuu, Ofisi Ndogo Lumumba, jijini Dar es Salaam, Alhamis, Septemba 8, 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.