Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mpango Ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji Butiama Mwanza

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji  na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022. Kulia ni Waziri wa Maji Jumaa Aweso , Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima na Waziri wa Ardhi Dkt. Angelina Mabula.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Chanzo cha Maji na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wakati alipofika kuweka Jiwe la Msingi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Wizara ya Maji kuhusu ukamilishaji wa Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wakati alipofika kuweka jiwe la msingi katika mradi huo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi ,wafanyazi wa mradi pamoja na wananchi mbalimbali mara baada ya  kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji  na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi pamoja  wafanyazi wa Mamlaka ya Maji Jijini Mwanza  mara baada ya kuhitimisha hafla ya   uwekaji Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Chanzo cha Maji  na Kituo cha Tiba ya Maji cha Butimba uliopo Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza leo tarehe 14 Septemba 2022

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.