RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Balozi Mdogo
wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-sinawi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala
ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja leo 16-9-2022,na( kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa
iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja leo 16-9-2022
No comments:
Post a Comment