Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wanachama wa Tanzanite ambayo ni Jumuiya ya Watanzania waishio Japan kwenye hoteli ya Ana Intercontinental jijini humo, Septemba 28, 2022. Waziri Mkuu ambaye yuko Tokyo, Japan alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Shinzo Abe
Baadhi ya wanachama wa Tanzanite ambayo ni Jumuiya ya Watanzania waishio Japan wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye hoteli ya Ana Intercontinental Tokyo, Japan
Baadhi ya wanachama wa Tanzanite ambayo ni Jumuiya ya Watanzania waishio Japan wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipozungumza nao kwenye hoteli ya Ana Intercontinental Tokyo, Japan Septemba 28, 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment