Habari za Punde

Mama Mariam Mwinyi Mgeni Rasmini Maulid ya Madrasatuk Mushawar Muembeshauri

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akikaribishwa na wakinamama wa Madrasatul Mushawar Mwembeshauri   katika Maulid ya kumsifu Mtume Muhamad S.A.W yaliyosomwa leo katika masjid  Mushawar Mwembeshaur Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini  Magharibi
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akiitikia dua ya Ufunguzi wa Maulid ya kumsifu Mtume Muhamad S.A.W iliyosomwa na Bi.Asha & Bi.Uchungu (wa Pili kulia) katika Masjid  Mushawall Mwembeshauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini  Magharibi  leo,ambayo yameandaliwa na Madrasatul Mushawar Mwembeshauri 
Waumini Wanawake kutoka sehemu mbali mbali wakiitikia Maulid ya kumsifu Mtume Muhamad S.A.W yaliyosomwa leo   katika Masjid  Mushawall Mwembeshauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini  Magharibi,ambayo yameandaliwa na Madrasatul Mushawar Mwembeshauri 
Wamamadrasatul Mushawar Mwembeshauri wakimswalia Mtume Muhammad S.A.W katika Maulid yaliyosomwa Masjid  Mushawall Mwembeshauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini  Magharibi leo Mgeni Rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani).ambapo madrasa mbali mbali zimealikwa katika hafla hiyo. 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akifukizwa udii wakati wa kumswalia Mtume Muhammad S.A. katika  Maulid yaliyosomwa leo   katika Masjid  Mushawall Mwembeshauri Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini  Magharibi,ambayo yameandaliwa na Madrasatul Mushawar Mwembeshauri 
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akitoa  nasaha zake mbele ya waumini wanawake katika Maulid ya kumsifu Mtume Muhamad S.A.W yaliyosomwa katika Madrasatul Mushawar Mwembeshauri Jijini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.