Habari za Punde

Matukio mbalimbali ya mchezo wa kirafiki wa Serengeti Girls dhidi ya timu ya Southampton uliochezwa jana katika Uwanja wa Snows, Totton, Southampton, Uingereza. Serengeti Girls ilishinda 3-0

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Serengeti Girls inajiandaa na Fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Nchini India Kuanzia Oktoba 14 hadi 31 Mwaka Huu 2022, wakiwa katika maandalizi ya michuano hiyo Nchini Uingereza kwa mchezo wa kirafiki na Timu ya Southampton ya Uingereza mchezo uliofanyika jana na Timu ya Serengeti Girls imeshinda mchezo huo kwa bao 3-0.(Picha na Rahel Pallangyo )

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.