Habari za Punde

Mhe Othman atembelea Wodi ya wagonjwa wa Surua hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto), akipokea maelezo kuhusu wagonjwa wa Surua  kutoka kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya watoto Dokta Zubeida Mohammed Hussein(kulia) wakati Mhe. Othman alipotembelea wodi waliolazwa wagonjwa wa surua katika hospitali ya Rufaa ya Mnazi mmoja mjini Zabzibar leo tarehe 28.10.2022.  ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Kitengo cha Habari)

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto), akizungumza na watendaji wakuu wa wizara ya Afya Zanzibar katika Ofisi za Wizara hio Mnazi moja baada ya Mhe. Othman kumaliza ziara fupi ya kutembelea wagonjwa wa Surua katika hospitali ya Rufaa ya Mnazi mmoja mjini Zabzibar leo tarehe 28.10.2022.  ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Kitengo cha Habari)

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman (kushoto), akipokea maelezo kuhusu wagonjwa wa Surua  kutoka kwa Daktari Bingwa wa Magonjwa ya watoto Dokta Zubeida Mohammed Hussein(kulia) wakati Mhe. Othman alipotembelea wodi waliolazwa wagonjwa wa surua katika hospitali ya Rufaa ya Mnazi mmoja mjini Zabzibar leo tarehe 28.10.2022.  ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Kitengo cha Habari).

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman , akizungumza na watendaji wakuu wa wizara ya Afya Zanzibar ( hawaonekani pichani ) huko katika Ofisi za Wizara hio Mnazi moja mjini Zanzibar baada ya Mhe. Othman kumaliza ziara fupi ya kutembelea wagonjwa wa Surua katika hospitali ya Rufaa ya Mnazi mmoja mjini Zabzibar leo tarehe 28.10.2022.  ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Kitengo cha Habari).

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman (kulia), akipokea maelezo kuhusu wagonjwa wa Surua huko katika Ofisi za Wizara ya Afya kutoka kwa Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk. Salim Nassor Slim (kulia) baada ya Mhe. Othman kutembelea wodi waliolazwa wagonjwa wa surua katika hospitali ya Rufaa ya Mnazi mmoja mjini Zanzibar leo tarehe 28.10.2022.  ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Kitengo cha Habari.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.