Habari za Punde

Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation yaendelea kutoa misaada kwa vituo vya Afya

Mjumbe wa Bodi ya  Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF"pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (katikati) akizungumza na wafanyakazi wa Kituo cha Afya Fujoni Kaskazini "B" Unguja leo,wakati alipomuwakilisha Mke  wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi hiyo katika ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya Afya (kulia) Daktari Dhamana wa Wilaya ya kaskazini "B" Unguja  Dr.Ibrahim Haji Makame na Katibu wa "ZMBF" Bi.Mwanaidi Muhamed Ali.[Picha na Ikulu] 09/11/2022.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Kituo cha Afya Fujoni Kaskazini "B" Unguja  na Maafisa mbali mbali wakimsikiliza Mjumbe wa Bodi ya  Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF"pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na wafanyakazi wa Kituo hicho leo,wakati alipomuwakilisha Mke  wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi hiyo katika ugawaji wa Vifaa mbali mbali vya Afya,hafla iliyofanyika kituoni hapo.[Picha na Ikulu] 09/11/2022.   
Mjumbe wa Bodi ya  Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF"pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (katikati) akimkabidhi Daktari Dhamana wa Wilaya ya kaskazini "B" Unguja Dr.Ibrahim Haji Makame (kulia) Vifaa mbali mbali vya Afya vilivyotolewa na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" chini ya Mwenyekiti wake Mke  wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,(kushoto) Katibu wa Taasisi hiyo Bi.Mwanaidi Muhamed Ali.[Picha na Ikulu] 09/11/2022.

Mjumbe wa Bodi ya  Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF"pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (katikati) Daktari Dhamana wa Wilaya ya kaskazini "B" Dr.Ibrahim Haji Makame (kulia)Mkuu wa Kituo cha Afya Zingwe Zingwe Daktari Ali Hamad ramadhan (wa pili kulia) Katibu wa Taasisi hiyo Bi.Mwanaidi Muhamed Ali (wa tatu kushoto) pamoja na maafisa Wengine wakiwa katika Picha wakati wa kukabidhiwa  Vifaa mbali mbali vya Afya vilivyotolewa na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" chini ya Mwenyekiti wake Mke  wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,hafla ilyofanyika leo Kituo cha Afya Zingwe Zingwe Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.[Picha na Ikulu] 09/11/2022.
Baadhi ya Vifaa vya Afya vilivyotolewa na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" chini ya Mwenyekiti wake Mke  wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, ambapo Mjumbe wa Bodi ya  Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF"pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (hayupo pichani) alivikabidhi katika kituo cha Afya Bumbwini Makoba leo,[Picha na Ikulu] 09/11/2022.


Mjumbe wa Bodi ya  Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF"pia Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Ukaguzi Ndg.Jaha Haji Khamisi (katikati) akimkabidhi Vifaa mbali mbali vya Afya, Ndg.Mwamne Bakari Mgeni Afisa Afya Mazingira Kiombmvua kaskazini "B" (katikati) vilivyotolewa na Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" chini ya Mwenyekiti wake Mke  wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, (kulia) Katibu wa Taasisi hiyo Bi.Mwanaidi Muhamed Ali na (kushoto) Daktari Dhamana wa Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja  Dr.Ibrahim Haji Makame.[Picha na Ikulu] 09/11/2022.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.