MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga kura kuwachagua Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, wakati wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi wa 10 uliofanyika leo katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo 7-12-2022.(Picha na Ikulu)
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe Dk.Husseinn Ali Mwinyi, wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika leo 7-12-2022, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, wakati wa uchaguzi Mkuu wa CCM uliofanyika leo 7-12-2022, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)
UBALOZI WA UFARANSA WAFUNGUA OFISI NDOGO JIJINI DODOMA
-
Balozi wa Ufaransa nchini Mheshimiwa Nabil Hajlaoui akimkaribisha Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax
alip...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment