Habari za Punde

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa Rais Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) Ukumbi wa White House Jijini Dodoma

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kikao chao kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM White House Jijini Dodoma tarehe 06 Desemba, 2022. 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM (NEC) kilichofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM White House Jijini Dodoma tarehe 06 Desemba, 2022. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.