Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani Mhe. Joe Biden pamoja na Viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika na Marekani kabla ya kuanza kwa ufungaji wa mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 15 Desemba 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani (U.S Afirica Leaders Summit) wakati wakijadili masuala ya Kilimo, Usalama wa Chakula na Uzalishaji wa Chakula, uliofanyika katika ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 15 Desemba 2022
MATUKIO KATIKA PICHA MANAIBU MAWAZIRI WATETA NA WANAWAKE PEMBA
-
Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi
Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera,B...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment