Habari za Punde

Ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea baadhi ya vitabu kutoka kwa Ndg, Mwandika Peter Mfuko Jasili Tanzania alipotembelea maonesho ya wajasiria mali   katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa  leo katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakipata  maelezo   kutoka kwa Bi. Rahma Mabrouk Masoud wa Kikundi cha  "Tushirikiane Cooperative"Gombani Chakechake  alipotembelea maonesho ya wajasiriamali   katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba leo.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi ya Asali kutoka kwa Bw.Khamis Salum Masoud  wa Kikundi cha Jukunum cha Wete Pemba alipotembelea maonesho ya wajasiriamali   katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba leo.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea zawadi ya Mkoba wa asili  kutoka kwa Katiu Mtendaji wa araza la Kiswahili (BAKIZA) Dr.mwanahija Ali Juma leo wakati alipotembelea maonesho ya wajasiriamali   katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba leo.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) wakipata  maelezo   kutoka kwa  Ndg,Mtumwa Rashid Khamis  wa Kikundi cha Bopwe vegetable&Fruit Pruduct Wete  alipotembelea maonesho ya wajasiriamali   katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba leo.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi  wakifuatana na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto)  mara baada ya  kutembelea maonesho ya wajasiriamali   katika hafla ya ufungaji wa Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba leo.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.

 Viongozi na Washiriki mbali mbali wakiwa katika Kongamano la Sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa  Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba.[Picha na Ikulu]  18/12/2022.


 Viongozi na Washiriki mbali mbali wakiwa katika Kongamano la Sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa  Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba.[Picha na Ikulu]  18/12/2022.


 Viongozi na Washiriki mbali mbali wakiwa katika Kongamano la Sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa  Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba.[Picha na Ikulu]  18/12/2022.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake leo katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofanyika  katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Wete Pemba.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.