Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Maskani ya Kachorora CCM

Katibu wa CCM Jimbo la Kikwajuni Ndg.Khamis Rashid Mbarouk (wa pili kulia) ni miongoni mwa  Viongozi  wa Maskani ya Kachorora alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika Ikulu Jijijini Zanzibar leo wakiongozwa na  Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (kulia kwa Rais)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora CCM ulioongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (wa pili kulia) walipofika Ikulu jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (wa pili kulia).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na   Viongozi     wa Maskani ya Kachorora CCM mara baada ya  waliofika Ikulu Jijini Zanzibar leo. 30-1-2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.