Habari za Punde

Taasisi ya Benjamin Mkapa Yakabidhi Fedha kwa Ajili ya Kuimarisha Hiduma za Afya

Mkurugenzi Mtendaji wa Benjamin Mkapa Foundation Dk,Ellen Mkondya Senkoro(KUSHOTO)akikabidhiwa Hundi ya Fedha Taslim Sh:Milioni Ishirini (20,000,000.)na Mkurugenzi wa Hoteli ya Tulia Group Zanzibar Lukas Sinoge kwa ajili ya kusaidia kuimarisha Huduma za Afya Tanzania ,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Tulia Pongwe  Wilaya ya Kati Unguja.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benjamin Mkapa Foundation Dk,Ellen Mkondya Senkoro(KUSHOTO) akiwa pamojana Mkurugenzi wa Hoteli ya Tulia Group Zanzibar,Lukas Sinoge(KULIA)wakiwa katika picha ya Pamoja na Wageni mbalimbali katika hafla ya kukabidhi Hundi ya Fedha Taslim Sh:Milioni Ishirini (20,000,000.)kwa Taasisi ya Mkapa Foundation kwa ajili ya kusaidia kuimarisha Huduma za Afya Tanzania ,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Tulia Pongwe  Wilaya ya Kati Unguja.
Mkurugenzi wa Hoteli ya Tulia Group Zanzibar Lukas Sinoge akizungumza katika hafla ya kukabidhi Hundi ya Fedha Taslim Sh:Milioni Ishirini (20,000,000.)kwa Taasisi ya Mkapa Foundation kwa ajili ya kusaidia kuimarisha Huduma za Afya Tanzania ,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Tulia Pongwe  Wilaya ya Kati Unguja.20-01-2023.
 PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.