Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na viongozi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) pamoja na ya Zanzibar (ZAHLIFE) na pia wale wanaowakilisha Serikali za Wanafunzi kutoka Taasisi za Elimu ya Juu kutoka Tanzania Bara na Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na ZAHLIFE kutoka Zanzibar pamoja na Wale wanaowakilisha Serikali za Wanafunzi kutoka Taasisi za Elimu ya JuuTanzania Bara na Zanzibar kwenye Mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Februari, 2023.
Viongozi mbalimbali pamoja na Wale wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), ZAHLIFE wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza nao katika Viwanja vya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Februari, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolph Mkenda wakati akizungumza na Viongozi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na ZAHLIFE kutoka Zanzibar mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa Adolph Mkenda katika picha ya pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na ZAHLIFE kutoka Zanzibar mara baada ya mazungumzo, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.