Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akutana na Marais na Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Addis Ababa, Ethiopia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Dkt. Abiy Ahmed katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Kundi la Mashirika ya Ndege ya Ethiopia Girma Wake Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa aliyeambatana na ujumbe wake Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Bi. Victoria Kwakwa pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 19 Februari, 2023.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.