Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Amefungua Jengo Jipya la Hoteli ya Tembe Shangani Jijini Zanzibar hivi Karibuni

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la msingi la uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto Muwekezaji Mzalendo) Bw.Hussein Muzzamil, uzinduzi wa jengo hilo uliyofanyika leo 22-3-2023 katika eneo la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Zanzibar Wilaya ya Mjini

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulizindua Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe wa Zanzibar, Wilaya ya Mjini Unguja leo 22-3-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said na (kulia kwa Rais) Muwekezaji wa Hoteli hiyo Bw.Hussein Muzzamil

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Muwekezaji Mzalendo wa Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. Bw. Hussein Muzzamil, baada ya uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar leo, 22-3-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Muwekezaji Mzalendo wa Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. Bw. Hussein Muzzamil, baada ya uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar leo, 22-3-2023, na 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya kulizindua Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 22-3-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Muwekezaji Mzalendo wa Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar.Bw. Hussein Muzzamil na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana

MUWEKEZAJI Mzalendo wa Hoteli ya Tembo Shangani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar Bw. Hussein Muzzamil, akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe wa Zanzibar,Wilaya ya Mjini Unguja uliofanyika leo 22-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar Mji Mkongwe Wilaya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 22-3-2023, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli hiyo shangani.

BAADHI ya Mawaziri wa SMZ na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar Mji Mkongwe, Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar,  22-3-2023. Hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli hiyo
WAGENI Waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Jengo Jipya la Hoteli ya Tembo Shangani Mji Mkongwe Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.