Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua jengo la dharura kwenye hospitali ya wilaya ya Ruangwa, Machi 31, 2023. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Hassan Jarufu (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la dharura kwenye hospitali ya wilaya ya Ruangwa,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua jengo la dharura kwenye hospitali ya wilaya ya Ruangwa,
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Mohamed Amri kuhusu mashine ya kuamshia mapigo ya moyo 'defibrillaor' baada ya kuzindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura la Hospitali ya wilaya ya Ruangwa , Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Afisa Muuguzi Shifra Buroko kuhusu mashine ya usaidizi ya kupumulia baada ya kuzindua Jengo la Wagonjwa wa Dharura la Hospitali ya wilaya ya Ruangwa
No comments:
Post a Comment