Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Mhe.Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Mhe.Hemed Suleiman Abdulah wakizindua chapisho la Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022,katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu
Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Hemed Suleiman Abdulah wakionesha chapisho la Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, baada ya kuzindua matokeo hayo, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu
Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Kassim Majaliwa akimkabidhi Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi kutoka Zanzibar Balozi Mohamed Haji Hamza nakala ya chapisho la Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, baada ya kuzindua matokeo hayo, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Hemed Suleiman Abdulah akimkabidhi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama nakala ya chapisho la Ripoti za Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022, baada ya uzinduzi wa matokeo hayo, katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)-Tunguu Aprili 15, 2023. Kulia ni Waziri Mkuu na Mwenyekiti wa Kamati ya Sensa Kitaifa, Kassim Majaliwa na kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa.
(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment