Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Afutarisha Wabunge Jijini Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson katika futari aliyowaandalia Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson, akizungumza katika futari aliyowaandalia na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika hafla ya futari aliyowaandalia Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma 
Wabunge na Watumishi wa Bunge, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwakatika futari aliyowaandalia Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. 
Wabunge na Watumishi wa Bunge, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwakatika futari aliyowaandalia Waheshimiwa Wabunge na Watumishi wa Bunge kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Aprili 12, 2023.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.