Habari za Punde

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Azungumza na Watendaji wa Ofisi Yake Baada ya Kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi Yake

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akipongezana na watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais  baada ya kupitishwa kwa matumizi ya Ofisi hiyo kwa  mwaka wa fedha  2023-2024 nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.