Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AKIONDOKA SHARM EL SHEIKH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 25 Mei 2023 akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh nchini Misri kurejea nchini Tanzania. Makamu wa Rais alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) uliofanyika katika mji wa Sharm El Sheikh.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.