Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni
mara baada ya kuwasili katika Mradi wa Umeme wa Kikagati - Murongo, Mbarara
nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akivuta kamba pamoja na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta
Museveni kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara
nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023. Mradi huo wa umeme utanufaisha nchi zote
mbili katika masuala ya Nishati ya umeme.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri
Kaguta Museveni wakati alipotembelea mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo
(Megawatt 16), Mbarara nchini Uganda

Eneo la mradi wa kufua
umeme wa Kikagati – Murongo pamoja na Mitambo kama linavyoonekana pichani,
Mbarara nchini Uganda

No comments:
Post a Comment