Habari za Punde

Waziri Mhe Balozi Pindi Chana Amekutana na Mashabiki wa Yanga Wakielekea Afrika Kusini

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (wa tatu kulia)  Mei 14, 2023 mjini Mafinga katika Wilaya ya Mufindi akiwa katika ziara ya kikazi, amekutana na Mashabiki wa Klabu ya Yanga wanaoelekea Nchini Afrika Kusini kuishangilia timu hiyo katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali  ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya timu ya Marumo Gallants Mei 17, 2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.