MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungwa Skafu na
Vijana wa UVCCM wa Mkoa wa Kaskazini Unguja baada ya kuwasili katika Ofisi za
CCM Mkoa Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kuendelea na ziara yake
ya Kichama na kuzungumza na Viongozi wa CCM Ngazi za Shina na Mkoa, mkutano huo
uliofanyika katika ukumbi wa CCM Mahonda leo 11-6-2023
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika
ukumbi ulioandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Viongozi wa CCM wa Ngazi
mbalimbali wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, kabla ya kuanza kwa ziara yake ya
Kichama kukagua Mali za CCM za Mkoa huo, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi
wa CCM Mkoa Mahonda leo 11-6-2023
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika
ukumbi wa mkutano wa CCM Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa mkutano
wake na Viongozi wa CCM Ngazi ya Shina hadi Mkoa, kabla ya kuanza kwa ziara
yake ya kichama na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar
Dkt.Said Mohammed Dimwa na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini
Unguja Ndg. Iddi Ali Ame.
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja, kabla ya kuanza kwa ziara yake ya Kichama kukagua Mali za
Chama katika Mkoa huo iliyofanyika leo 11-6-2023, mkutano huo uliofanyika
katika ukumbi wa CCM Mahonda
WAZEE
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Viongozi
wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika katika ukumbi wa CCM Mahonda leo
11-6-2023, kabla ya kuanza kwa ziara yake yav Kichama kukagua Mali za Chama
katika mkoa huo
VIONGOZI
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na
Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Kaskazini Unguja, katika ukumbi wa CCM Mahonda kabla
ya kuaza kwa ziara yake ya Kichama katika Mkoa huo leo 11-6-2023

na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia
Viongozi wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja wakati wa ziara yake ya Kichama
kukagua Mali za Chama katika Mkoa huo alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya
CCM Mahonda na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Said
Mohammed Dimwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Ndg. Mohammed
Aboud.
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo
ya Mradi ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa
Kaskazini Unguja kutoka kwa Katibu wa CCM Mkoa Ndg. Ramadhan Hassan Kapeto,
wakati akitembelea mradi wa Kituo cha mafuta mahonda akiwa katika ziara yake
kukagua Mali za CCM katika mkoa huo na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Dkt. Said Mohammed Dimwa na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ,akiwa katika ziara yake ya Kichama kukagua Mali za Chama Cha Mapinduzi katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-6-2023, (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Unguja Ndg.Iddi Ali Ame na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed Dimwa, akitembelea miradi ya CCM Nungwi

No comments:
Post a Comment