Habari za Punde

Rais ZFF afanya uteuzi wa viongozi na kamati za ZFF

 


Rais wa ZFF, Dkt. Suleiman Jabir ametangaza majina ya Uteuzi wa viongozi wa nafasi na kamati mbali mbali za Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF).

•Dkt. Jabir amemteuwa Ndug. Abdallah Yahya Shamuni kuwa Makamu wa Rais wa ZFF. (Pemba).

Wajumbe wa Kamati tendaji:-

•Nassra Juma Mohamed
•Faina Idarous Faina
•Yahya Ali Khamis (Pemba)
•Awadh Maulid Mwita.

Wajumbe wa Kamati Tendaji (Mikoa na Bodi ya Ligi)

•Ali Mohammed (Kusini Pemba)
•Omari Ahmed (Kaskazini Pemba)
•Ali Ame Vuai (Kusini Unguja)
•Suleiman Haji (Kaskazini Unguja)
•Seif Khamis (Mjini Magharib)
•Suleiman Salum (M/Kiti Bodi)
•Sheha Mohamed (M/M/Kiti Bodi)

•Katibu Mkuu wa ZFF, Hussein Ahmada.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.