Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Mhe Othman Masoud akizungumza na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch alipofika ofisini kwake Migombani Zanzibar kujitambulisha leo
Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Mhe Othman Masoud akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa Bibi. Elke Wisch alipofika ofisini kwake Migombani Zanzibar kujitambulisha leo.
Picha na OMKR.
No comments:
Post a Comment