Habari za Punde

Wanadiaspora Wanaoishi Marekani "HEAD INC " Watowa Huduma za Afya kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja Wiki Iliyopita

Diaspora Wanaoishi Marekani "HEAD INC" wakitowa huduma ya Afya kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Hospitali ya Wilaya Kitogani kwa kushirikiana na Madaktari wa Hospitali hiyo kwa Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja huduma zilizotolewa kwa Wananchi ni Upimaji wa Sukari, Macho,Matibabu ya Ngozi, Upimaji wa presha, Afya ya Akili na Afya ya Uzazi. 

Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Ikulu kupitia idara yake ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari Wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora) imeungana na  wanadiaspora wanaoishi Marekani (HEAD INC) huduma za afya katika Mkoa wa Kusini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.