Habari za Punde

Waziri Lela afanya kikao na Wajumbe wa Baraza la Chuo Cha Taifà SUZA

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe Lela Mohammed Mussa amefanya kikao na Wajumbe wa Baraza la Chuo Cha Taifà SUZA katika ukumbi wa Mkutano wa wizara hiyo Mazizini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.