Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo bwana. Khamis Abdullah Said, wakikagua Ujenzi wa Skuli mpya ya Muembeladu kabla ya kukabidhiwa Wizara. Skuli hiyo imejengwa kama Mbadala wa Skuli ya Tumekuja iliovunjwa. iliyoko Mjini Magharib Unguja.
Jengo la skuli ya Muembe Ladu katika picha
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo bwana. Khamis Abdullah Said, wakiondoka baada ya kulikagua jengo la Skuli mpya ya Muembeladu kabla ya kukabidhiwa Wizara. Skuli hiyo imejengwa kama Mbadala wa Skuli ya Tumekuja iliyovunjwa iliyoko Mjini Magharib Unguja.
No comments:
Post a Comment