Habari za Punde

JESHI LA POLISI LASAINI HATI YA MAKUBALIANO

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii Dkt. Florian Mtey, wakisaini Hati ya Makubaliano na Mashirikiano baina ya Jeshi la Polisi na Chuo cha Taifa cha Utalii, kwenye hafla hiyo IGP Wambura amesema Jeshi la Polisi ni mdau muhimu wa Sekta ya utalii hapa nchini ikiwemo kulinda usalama wa raia na mali zao pamoja na usalama wa Watalii wote wanaotembelea vuvutio vyetu, hafla hiyo ya utiaji Saini  imefanyika 22/09/2023 jijini Arusha.

Picha na Jeshi la Polisi


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.